SURVEY A CONJOINT EXPERIMENT MIT CITE wPOWER GRANT TANZANIA 2017 Utambulisho na Idhini Habari, jina langu niÉÉÉÉ. Ninafanya kazi na utafiti wa utumiaji wa taa za sola Tanzania kutoka chuo cha marekani. Mojawapo ya lengo ya Utafiti huu ni kujua aina ya Wauzaji ambao mnapendelea; kununua bidhaa kutoka kwao. Umechaguliwa kuwa mmoja wa washiriki katika utafiti huu. Una uhuru wa kuamua kushiriki au kutokushiriki katik utafiti huu. Ili kukusaidia kufanya maamuzi, tutakuelezea jinsi utakavyoshiriki na jinsi matokeo ya utafiti huu yatavyowasilishwa. Tafadhali jisikie huru kuuliza maswali endapo kutakuwa na kitu chochote ambacho hakitoeleweka kwako. ? Ushiriki wako ni wa hiari. Hautotakiwa kujibu swali lolote ambalo haupo tayari kujibu, na unaweza ukasitisha utafiti huu au mahojiano haya muda wowote. ? Majadiliano yatachukua angalau dakika 30. ? Utapewa paketi ya sukari kama shukrani mwishoni wa majadiliano. * Matokeo ya Utafiti huu yatatumika katiko Machapisho mbalimbali Utapewa mawasiliano yetu endapo utapenda kuwasiliana nasi mwisho wa majadiliano. Utafiti huu unatarajiwa kumalizika mwishoni wa mwaka 2017. Je, unamswali yoyote kuhusu utafiti huu? Je Umeridhia Kushiriki katika Utafiti huu? ? Ndiyo ? Hapana Tafadhali wasiliana na Jonars Spielberg kupitia barua pepe jspiel@mit.edu au namba za simu +255.788.432.810 kama utakua na maoni yoyote Kama unahisi utakuwa haujapenda jinsi ulivyohojiwa, au kama una maswali yoyote juu ya haki zako kama mhojiwa, unaweza ukawasilaiana na mwenyekiti wa kamati anaye husika na usimamizi wa haki za binadamu. (COUHES), MIT, chumba E25-143B,77 Massachusetts Avenue, Cambridge, MA 02139, namba +1.617.253.6787. SURVEY A CONJOINT EXPERIMENT MIT CITE wPOWER GRANT TANZANIA 2017 Introduction and Consent Utambulisho na Idhini Habari, jina langu niÉÉÉÉ. Ninafanya kazi na utafiti wa utumiaji wa taa za sola Tanzania kutoka chuo cha marekani. Mojawapo ya lengo ya Utafiti huu ni kujua aina ya Wauzaji ambao mnapendelea; kununua bidhaa kutoka kwao. Umechaguliwa kuwa mmoja wa washiriki katika utafiti huu. Una uhuru wa kuamua kushiriki au kutokushiriki katik utafiti huu. Ili kukusaidia kufanya maamuzi, tutakuelezea jinsi utakavyoshiriki na jinsi matokeo ya utafiti huu yatavyowasilishwa. Tafadhali jisikie huru kuuliza maswali endapo kutakuwa na kitu chochote ambacho hakitoeleweka kwako. ? Ushiriki wako ni wa hiari. Hautotakiwa kujibu swali lolote ambalo haupo tayari kujibu, na unaweza ukasitisha utafiti huu au mahojiano haya muda wowote. ? Majadiliano yatachukua angalau dakika 30. ? Utapewa paketi ya sukari kama shukrani mwishoni wa majadiliano. * Matokeo ya Utafiti huu yatatumika katiko Machapisho mbalimbali Utapewa mawasiliano yetu endapo utapenda kuwasiliana nasi mwisho wa majadiliano. Utafiti huu unatarajiwa kumalizika mwishoni wa mwaka 2017. Je, unamswali yoyote kuhusu utafiti huu? Je Umeridhia Kushiriki katika Utafiti huu? ? Ndiyo ? Hapana Tafadhali wasiliana na Jonars Spielberg kupitia barua pepe jspiel@mit.edu au namba za simu +255.788.432.810 kama utakua na maoni yoyote Kama unahisi utakuwa haujapenda jinsi ulivyohojiwa, au kama una maswali yoyote juu ya haki zako kama mhojiwa, unaweza ukawasilaiana na mwenyekiti wa kamati anaye husika na usimamizi wa haki za binadamu. (COUHES), MIT, chumba E25-143B,77 Massachusetts Avenue, Cambridge, MA 02139, namba +1.617.253.6787. A. Mtafiti:_________________________________________________________________ B. Je Umetumia Pin ya GPS na Kitambulisho cha Utafiti? ? Ndiyo ? Hapana ______________________________ Lat. _____________________________ Long. Kijiji: __________________________________________________________________ Utafiti: Fikiria kuwa unatakiwa kununua Taa ya Solar kama hii hapa kwa ajili ya kuweka nyumbani kwako [Mtafiti anaoesha taa ya Solar]. Nitakuonesha aina dhanaia ya wauzaji wa Taa hizi na nitasoma Sifa za kila muuzaji. [Muoneshe Mshiriki Kundi la Kwanza la Wauzaji]. Muuzaji wa Kwanza ataitwa ÒAÓ [Muoneshe katika kolamu ya kushoto kwenye Karatasi la Utafiti]. Muuzaji wa Kwanza ataitwa ÒBÓ [Muoneshe katika kolamu ya kulia kwenye Karatasi la Utafiti]. Huyu ni Muuzaji ÒA.Ó * Huyu muuzaji ni [Mwanaume / Mwanamke]. Ambaye [Unafahamiana naye na Kumuamini / Ambaye Hufahamiani Naye]. Ukinunua Taa Kutoka Kwake, [Muuzaji huyu atapatikana kirahisi kwa kuonanan naye iwapo utahitaji msaada wowote baada ya kununua Taa hiyo ya Sola / Haufahamu uwasiliane na nani kama utahitaji msaada wowote baada ya kunua Taa hiyo ya Sola] na [Anapokea malipo kwa Mkupuo wa Elfu 15,000/= mara moja / Anapokea malipo ndani ya Miezi sita kwa malipo ya Elfu 4,000/= kwa jumla ya Elfu 24,000/= ndani ya miezi sita] Huyu ni Muuzaji ÒB.Ó * Kumuamini / Ambaye Hufahamiani Naye]. Ukinunua Taa Kutoka Kwake, [Muuzaji huyu atapatikana kirahisi kwa kuonanan naye iwapo utahitaji msaada wowote baada ya kununua Taa hiyo ya Sola / Haufahamu uwasiliane na nani kama utahitaji msaada wowote baada ya kunua Taa hiyo ya Sola] na [Anapokea malipo kwa Mkupuo wa Elfu 15,000/= mara moja / Anapokea malipo ndani ya Miezi sita kwa malipo ya Elfu 4,000/= kwa jumla ya Elfu 24,000/= ndani ya miezi sita] Kutokana na Sifa tajwa, Muuzaji yupi ungependelea kununua Taa ya Solar kutoka kwake? Zungushia Herufi A kama ungemchagua A, na Zungushia Herufi B kama Ungemchagua Muuzaji B; [Onyesha Herufi A na B kwenye karatasi ya Utafiti]. Lazima uchague mmojawapo. Swali la pili ni: Ni kwa kiasi gani Ungependelea kununua kutoka kwa Muuzaji A na Muuzaji B? Angalia picha ya Ndoo ya Maji; [Onesha Ndoo ya Maji kwenye Karatasi ya Utafiti]. Jinsi utakavyojaza maji kwenye Ndoo, ndio jinsi unavyoonesha kuwa ungependelea kununua kutoka kwa Muuzaji husika. Chora mstari katika ndoo; kuonesha ni maji kiasi gani unaweka katika ndoo. [Rudia mara tano kwenye Karatasi za Utafiti] Taarifa za Mshiriki 1. Mwaka wa Kuzaliwa:______________________ 2. Jinsia: ? Kiume ? Kike Upatikanaji wa Nishati/ Umbali 3. Je una miliki Taa ya Solar? ? Ndiyo ? Hapana Kama ni Ndiyo, Uliinunua kutoka kwa nani?__________________________________ 4. Unaweza ukanunua Taa ya Solar kutoka kwa nani au Mtambo mdogo kama ungehitaji? [JIna la Taasisi] _________________________________________________________ Do you know of: Could you buy from: Do you know of: Could you buy from: Je unafahamu: Ungeweza kununua kutoka kwa: ? Solar Sister ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Solar Kiosk ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Little Sun ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Ensol ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Total ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Ongeza ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana 5. Je Kuna Sehemu Yoyote ya Kijiji Hiki Kilichounganishwa na Gridi ya Umeme? ? Ndiyo ? Hapana 6. Je nyumba yako imeunganishwa katika gridi ya umeme? ? Ndiyo ? Hapana Kama Ndiyo? Ni kwa masaa mangapi kwa siku unapata umeme? Masaa _____________ 7. Je ni sehemu gani ambayo ipo karibu Zaidi na nyumbani kwako ambayo imeunganishwa na umeme? Aina ya Jengo lenye Umeme: ______________________________________________ Umbali kutoka nyumbani: Dakika_____ ? Kwa Kutembea ? Baisikeli ? Boda-boda 8. Inakuchukua Muda gani kutoka Nyumbani kwako kufika Barabara ya lami ambapo mabasi ya mikoani yanapita? ___________ Dakika ? Kwa Kutembea ? Baisikeli ? Boda-boda Progress Out of Poverty Index (PPI) Questions PPI1. Je, nyumbani kwako ni watu wangapi wenye umri wa miaka 18 na Zaidi?___________ PPI2. Je, nyumbani kwako ni watu wangapi wenye umri wa miaka 18 na Chini ya miaka 18? PPI3. Je wakazi wa nyumba zote wenye umri kati ya Miaka 6 mpaka 18 wanasoma shuleni? ? Ndiyo ? Hapana ? Hakuna wakazi wenye umri kuanzia Miaka 6 mpaka 18 PPI4. Je ni vifaa gani vya ujenzi vinatumika kujenga kuta za nyumba? ? Matofali ya kuchoma ? Vizingiti na udongo, nyasi, matofali ya kukaushwa na jua, au vinginevyo ? Mawe,matofali ya simenti, au mbao PPI5. Ni vifaa gani vya ujenzi vinatumika kujenga paa za nyumba? ? Nyasi, Udongo na Nyazi, or nyinginezo ? Mabati, Vigae, Tofali/Zege, au nyinginezo PPI6. Je Ni Nishati ipi Kuu inatumika katika kupikia? ? Kuni, Makaa ya Mawe, Solar, (Bio)Gesi, Maranda ya Mbao, Mabaki ya wanyama ? Mkaa, Parafini, Gesi ya kiwandani, Umeme, Jenereta/au chanzo binafsi au nyingine PPI7. Je Nyumba yako ina Televisheni? ? Ndiyo ? Hapana PPI8. Je nyumba yako ina redio, au vinakili sauti? ? Ndiyo ? Hapana PPI9. Je Nyumba yako ina Taa zozote? ? Ndiyo ? Hapana PPI10. Je nyumba yako ina meza yoyote? ? Ndiyo ? Hapana PPI11. Je umelima mazao yoyote katika makazi yako ndani ya miezi12 iliyopita? ? Ndiyo ? Hapana PPI12. Je Nyumba yako ina wanyama wowote kama Mafahari, NgÕombe, au Ndama? ? Ndiyo ? Hapana Tunamalizia Asante kwa kuchukua muda wako kuongea na mimi! Maoni Yoyote: ID: _______________ - 1 -